Michael Bradley, USA; Paolo Henrique Ganso, Robinho, Brazil (Getty Images)
Tunapenda kuwatarifu wadau wetu wote wanaoishi DMV na vitongoji vyake kwa wale wanaopenda mchezo wa kandanda, timu ya taifa ya Marekani itakuwa mwenyeji wa Brazil katika mechi ya kirafiki  itakayochezwa, Mei 30 mida ya 8 p.m. ET, hapa hapa FedExField Landover, Maryland.
 
US itatakuwa nimara ya pili  kukutana na Brazil tangu kusimamuwa na kocha mzowefu  kutoka Ujerumani Jurgen Klinsmann  siku hiyo ya Mei 30.
 
“Unapozungumzia kuhusu Brazil, unazungumza  kuhusu kandanda na wengi wenye vipaji  kucheza katika taifa ambalo linajulikana duniani,” alisema kocha mkuu wa Marekani Jurgen Klinsmann kwenye ussoccer.com. “Ni lengo letu kuwa na tuna uwezo wa mechi za juu dhidi ya timu kama Brazil ndani  ya msingi imara, na hii ni nafasi ya kujimarisha zaidi.
 
Hii ni kuwakumbusha tu wadau wanaotembelea blog hii, wahi tiketi yako mapema, kwa sasa zinapatikana bei nafuu online, kabla hazijapandishwa bei wakati pale hamu imeshakujia ya kwenda kuwaona  mabingwa wenye vipaji duniani katika janga la soccer timu ya Brazil, ambayo mechi hiyo utachezwa hapa  FedExField Landover, Maryland.

Kwa habari zaidi ya mpambano huu bofya hapa

Advertisements