Viongozi wa klabu za Simba, Yanga na Azam walitia maguu kwenye kambi ya
Timu ya Taifa  na kila mmoja alikuwa akitaka kiuongo huyo chipikizi Frank Domayo amwage wino. 
 
 
Ni  Yanga iliyofanikiwa kumnasa nyota huyo na kumsainisha mkataba wa miaka mitatu wenye thamani ya sh. milioni 20.
Advertisements