Mkurugenzi wa taasisi ya Chief Promotions ambao ni waandaaji wa Tamasha la Mtemi Mirambo,Amon Mkoga akionyesha tangazo la Tamasha hilo.

Mkurugenzi wa taasisi ya Chief Promotions ambao ni waandaaji wa Tamasha la Mtemi Mirambo,Amon Mkoga (katikati) akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Idara ya Habari-Maelezo jijini Dar es Salaam leo wakati akitangaza uwepo wa Tamasha hilo kwa Mwaka huu na kuzitaja burudani mbali mbali zitakazokuwepo.Kulia ni Ally Mango ambaye ni Msanii wa Ngoma za Asili kutoka Kundi la Mango Star na Kushoto ni Msanii wa Bongo Flava,Jumanne Omar kutoka Kundi la Mabaga Fresh. 

Msanii wa Muziki wa Bongo Flava kutoka Kundi la Mabaga Fresh,Jumanne Omar akiimba moja ya nyimbo zake atakazoimba kwenye kusindikiza Tamasha la Mtemi Mirambo linalotajariwa kuanza kufanyika Julai 1-3 mkoani Tabora.

Advertisements