Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi wakisikiliza majadiliano ya Wajumbe wa mafunzo mara baada ya mada mbalimbali kuwasilishwa.

Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI Bw. Hussein Katanga akifafanua baadhi ya hoja zilizotolewa na wajumbe wa mafunzo, Pembeni kushoto ni Rais Kikwete na Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Hawa Ghasia wakimsikiliza.

Baadhi ya Wakuu wa Mikoa wakifuatilia mada katika mafunzo hayo.

Advertisements