Mwana mitindo mbunifu wa mitindo ya (Kwetu Fashion Design, kulia), Missy Tetemeke akiwa na mwana mitindo mwenza    katika tamasha la SADC. Africa Day ndani ya  Washington DC
 
  
 Mwana mitindo na mbunifu wa kiTanzania (Kwetu Fashion Design), Missy Tetemeke akipata flashi katika bendera ya Mozambique na Malawi katika tamasha linaloendelea Washington, DC, USA UPF na Dunia kote.
 
Kwetu Fashion Design, Missy Tetemeke akiwa katika Tamasha la Africa Day Washington DC kabla ya siku mbili ya sherehe za tamashi hilo litakalo fanyika  leo hapa Washington DC na Mei 25 New York City.
Advertisements