Mshambuliaji machachari wa Chelsea Didier Grogba akishangilia goli la mwisho alilopata kwa njia ya penati na kuifanya timu yake kulinyakua kombe la UEFA 2012 nchini Ujerumani kwa kuwafunga Bayern Munich.

“Asante sana Boss wetu“ kazi uliyotutuma nafikiri tumeimalizaaa….mchezaji John Terry akimkumbatia Boss wa timu yao tajiri Roman Abramovich huku umati wa mashabiki wakipiga makofi kuwapongeza.

Kikosi cha Chelsea kikishangili ubingwa wao baada ya kukabidhiwa kombe la UEFA 2012 nchini Ujerumani.

Advertisements