Standing strong: Didier Drogba blocks Arjen Robben's free-kick Timu ya Chelsea wakionekana kupanga ukuta dhidi ya free-kick iliopikwa na Arjen  Robben’s katika mechi ya fainali ya Champions League
 
Katika mchezo wa Champions League final leo hii ulikuwa ukisubiwiwa kwa hamu ndio umefikia ulingoni, baada ya timu ya Bayern Munich kupambana vikali na timu ya Chelsea kutoka Uingereza, kizaa zaa cha mchezo huo kiliendelea hadi dakika 45 za mwanzo hakuna timu yoyote iliopata bao hadi wanaingia mapumzikoni
 
 Kipindi cha pili cha mchezo huo kilianza kwa kasi na kila timu kuonyesha ustadi wake wa kushinda mchezo huo, mnamo  dakika ya 83 kipindi chapili timu ya na  Bayern Munich ilifanikiwa kufungua mlango wa goli lililofungwa na Thomas Muller’s katika dakika ya 83, bao ambalo liliwapa matumaini wachezaji na wapenzi timu hiyo.
 
Juu na chini dakika ya 88 Chelsea hawakufanya makosa walionekana kutulia na kufanikiwa kusawazisha bao la kichwa lililofungwa na Didier Drogba, dakika ya 90 Didier Drogba huyo huyo alibahatika kupata Free-kick na kupaisha juu, mpira ulimalizikia hapo kwa dakika za nyongeza za mwazo Didier Drogba alifanya kosa ndani ya box na kusababisha Penalti kwa timu yake ndani ya dakika 93.Penalti ambayo ilipikwa na Robben’s kwa bahati mbaya haikuza matunda na kukosa penalti hiyo.
 Chelsea Anyakua Kombe la Champions League kwa Penalti……….!!! 
 

Against all odds: Didier Drogba headed a dramatic equaliser for Chelsea
Time ya chelsea wakisshangilia bao la kusawazisha!

At last: Chelsea raise the Champions League Trophy for the first time in their history after Didier Drogba's penalty sealed victory in Munich
Mabingwa  wa Champions League Chelsea  wakilishangilia kombe walilonyakua ndani ya Munich kwa ushindi wa Penalti.

Advertisements