Pichani washiriki wakiwa kwenye steji na majaji wakendelea na kazi zao.

    Washiriki walioingia tano bora wakiwa katika kipindi cha maswali na majibu

Redd’s Miss Njiro 2012,Anitha Mbowe (katikati) akiwa na Mshindi wa Pili,Winmava John (kulia) na wa Tatu,Husna Ally mara baada ya kumalizika kwa kinyang’anyiro hicho muda mfupi uliopita katika Ukumbi wa Klabu Triple A,Jijini Arusha.(kwa picha zaidi mtaa kwa mtaa blog)

Advertisements