Wafanyakazi wa Kampuni ya Ndege la Tanzania (ATCL), wakishuka katika ndege mpya aina ya Boeing 737-500 iliyokodishwa kutoka Dubai, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam. (Na Mpigapicha Wetu).

Advertisements